BANDA MEDIA BLOG

WABUNGE WA AFRICA MASHARIKI WAHAMASISHA WANAFUNZI WA CHUO CHA MIPANGO FURSA ZA KIBIASHARA ZILIZOPO KATIKA JUMUIYA HIYO

Kiongozi wa Wabunge wa Bunge la Africa Mashariki Charles Makongoro Nyerere akifafanua jambo mbele ya wanafunzi na wafanyakazi wa Chuo cha Mipango na Maendeleo Vijini ambapo wabunge hao walifika kuhamasisha fursa zinazopatikana katika jumuiya hiyo


Wanafunzi wa chuo hicho wakifuatilia maelezo mablimbali yaliyokuwa yakitolewa na Wabunge hao
Wabunge wa Bunge la Africa Mashariki Bernard Mlunya, Nderakindo Kessy, Shyrose Bhanji na Mariyam Ussi Yahya wakiongozwa na Chrles Makongoro Nyerere wakimkabidhi Bendera ya Jumuiya hiyo Makamu mkuu wa Chuo cha Mipango na Maendeleo vijijini PROF Hozen Mayaya, Mala Baada ya kumaliza uhamasishaji wa Fursa za Jumuiya ya Africa mashariki kwa wanafunzi wa chuo hicho [PICHA NA JOHN BANDA WA BANDA BLOG]


 


Wanafunzi wa chuo hicho wakia maoni na kuuliza mashwali kwa wabunge hao



 
Uhamasishaji unaendelea
 
Mhe. Mariyam Ussi Yahya akijibu moja ya swali la wanafunzi hao

Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Africa Mashariki Mbundi Stevin akijibu swali la wanafunzi hao lililoelekezwa kwake



Mhe. Shyrose Bhanji akijibu moja ya maswali hayo

Mhe. Twaha Issa Taslima akifanua jambo wakati akijibu maswali hayo

Mhe. Nderakindo Kessy akifafanua jambo wakati wabunge hao walikuwa wakijibu maswali ya wanafunzi hao wa chuo cha mipango

Mhe Mariyam na Shyrose wakifuatilia jambo

Makamu mkuu wa Chuo hicho Prof Mayaya akikabidhiwa mkataba wa africha mashariki na Charles Mkongoro Nyerere
chuo kikakabidhio zawadi ya saa kwa ugeni huo
Mhe Charles Makongoro Nyerere na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof Hoze Mayaya wakiwa katika picha ya pamoja na mmoja wa wanafunzi wa chuo hicho aliye julikana kwa jina moja la Teddy

Picha ya Pamoja mbele ya ukumbi huo wa Mawlimu Nyerere


Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG