BANDA MEDIA BLOG

Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Yanga v Mbao FC, Simba v Azam FC



Droo ya Kombe la Shirikisho imekamilika na sasa Simba na Azam FC zitakutana katika nusu fainali ya kwanza. 

Mbao FC watakuwa wenyeji wa Yanga katika nusu fainali ya pili.

Nusu fainali ya kwanza itakayowakutanisha Simba na Azam FC itachezwa Aprili 29 na ile ya pili kwenye Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza itachezwa Aprili 30.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG