BANDA MEDIA BLOG

RAIS DKT MAGUFULI AWAPISHA MAKATIBU WAKUU, MABALOZI NA KAMISHNA WA TRA IKULU, DAR ES SALAAM


A 1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Leonard Akwilapo kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya elimu, Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017
A 2
-Rais akiweka sahihi hati ya kiapo
A 3
-Rais akimkabidhi nyezo za kazi
A 4
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Kitila Alexander Mkumbu  kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017
A 5
-Rais akiweka sahihi hati ya kiapo
A 6
-Rais akimkabidhi nyezo za kazi
A 7
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Ave Maria Semakafu Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya elimu, Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017
A 8
-Rais akiweka sahihi hati ya kiapo
A 9
-Rais akimkabidhi nyezo za kazi
A 10
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Sylvester Ambokile Mwakinyke kuwa Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017
A 11
-Rais akiweka sahihi hati ya kiapo
A 12
-Rais akimkabidhi nyezo za kazi
A 13
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Baraka Luvanda kuwa Balozi wa Tanzania nchini India Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017
A 14
-Rais akimkabidhi nyezo za kazi
A 15
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Charles Edward Kichere kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017
-Rais akimkabidhi nyezo za kazi
A 18
Waapishwa wakila kiapo cha maadili ya viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017
A 19
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na waapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017
PICHA NA IKULU

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG