BANDA MEDIA BLOG

SOKO LA MWEMBE TAYALI MJINI DODOMA LATEKETEA KWA MOTO DC AWAPA POLE

Wafanyabiashara wa soko hilo wakiondoa baadhi ya masalia ya baada ya soko lao kuteketea kwa moto
Mmoja wa mama lishe sokoni hapo akihamisha masalia ya mbao zilizokuwa za kibanda chake baada ya kuungua kwa moto [PICHA NA JOHN BANDA WA BANDA BLOG]








Mkurugenzi wa manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi akizungumza jambo kwa wafanyabiashara wa soko la mwembe tayali lililoteketea kwa moto

Mkuu Wilaya ya Dodoma Mjini Christina Mndeme akizzungumza na wafanyabiashara wa soko la Mwembe Tayali lililoteketea kwa moto usiku wa kuamkia jana



Mkuu wa Wilaya ya Dodoma mjini Christina Mndeme akiangali jinsi soko la Mwembe Tayali lilivyoteketea kwa moto




Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG