BANDA MEDIA BLOG

UPASUAJI WA MATUNDU MADOGO-MUHIMBILI


 Z
Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Charles Majinge akizungumza katika warsha kuhusu upasuaji wa matundu madogo bila kufungua tumbo iliyofanyika kwenye hospitali hiyo leo. Daktari bingwa aliyebobea katika upasuaji huo, Profesor Rafique Parkar kutoka Kenya ni mmoja wa watoa mada kwenye warsha hiyo ambayo imeandaliwa na MNH. Watoa mada wengine ni Dk Vicenti Tarimo wa Muhimbili, Dk. Abidan Mganga na Dk. Paul Kissanga.
Z 5
Baadhi ya washiriki wakifuatilia warsha hiyo.
Z 2
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru akiwakaribisha madaktari kutoka katika hospitali mbalimbali nchini. Madaktari kutoka Hospitali ya Regency, Hospitali ya Seliani, Hospitali ya Temeke na Hospitali ya Amana.
Z 1
Washiriki wakifuatilia warsha leo ambayo imefanyika kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).
Z 4
Dk. Vicenti Tarimo wa Muhimbili akitoa mada kwenye warsha hiyo leo.
Z 3
Baadhi ya washiriki akiwamo Profesa Rafique Parkar , Profesa Charles Majinge (kutoka kushoto) wakimsikiliza Dk. Vicent Tarimo wakati akitoa mada leo kwenye warsha hiyo.
Z 6
Washiriki wakiwa kwenye picha ya pamoja.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG