1. Mtengenazaji meli ya titanic.
Baada ya kutengeneza meli ya TITANIC, mwandishi wa habari alimuuliza ni
kiasi gani ilikuwa salama, nae akajibu " Ni salama sana na haiwezi
kuzama na hata mungu hawezi kuizamisha".
2.AZUZA (mwanamuziki brazil)
Alipokuwa kwenye show yake ndani ya jiji la Rio dejeneiro , alichukua
sigara akaanza kuvuta, akachukua nyingine kisha akairusha juu na kusema "
Mungu na hiyo yako , chukua na wewe uvute. Alifariki akiwa na miaka 32
kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu, ambayo iliharibu sana mapafu yake kuliko
mgonjwa yeyote.
3.Christina hewt (mwandishi)
Huyu alikaririwa akisema " Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna
kitabu kibaya kama biblia, siku chache baada ya kusema maneno hay, mwili
wake ulikutwa umeunguzwa moto ambao haijajulikana hadi Leo
umesababishwa na nini.
4. John Lennon (muimbaji)
Wakati alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari la gazeti la america
alinukuliwa akisema " ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa
na wasiwas na hilo kwa kuwa Nina uhakika nalo. Huyu naye baada ya mda
alikutwa amekufa nyumbani kwake
5. Tancredo neves (rais wa brazil)
Alisema kwamba endapo angeshinda kura laki tano katika uchaguzi mkuu
Brazil na kuwa rais , hata mungu asingeweza kumtoa katika urais huo.
Akafanikiwa akapata kura zaidi ya laki tano akashinda uchaguzi, siku
moja kabla ya kuapishwa akafariki dunia.
