BANDA MEDIA BLOG

WAZIRI ANTHONY MAVUNDE MGENI RASMI TAMASHA LA PASAKA MJINI DODOMA, KUFANYIKA JUMATATU YA PASAKA


MS1
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi zake zilizopo Moroco Kinondoni  jijini Dar es salaam ,wakati alipotangaza mgeni rasmi wa Tamasha la Pasaka mkoani Dodoma ambaye atakuwa ni Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde na mbunge wa jimbo la Dodoma mjini.
Msama ameongeza kuwa katika tamasha hilolitakalofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri siku ya Jumatatu ya Pasaka liratumbuizwa pia na waimbaji kutoka nje ya nchi na kuhudhuriwa na baadhi ya wabunge wa bunge la Jamhuri wa Muungano ya Tanzania
MS02
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akisikiliza baadhi ya maswali kutoka kwa waandishi wa habari wakati alipozungumza nao jana.

MS2
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG