
Zitto Kama Mbunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, tarehe
03/05/2017 aliandika tweet hii kwenda kampuni ya Boeing kupitia account
yao ya twitter na mpaka sasa hawajamjibu.
" #BoeingAirplane didi you approach us?Where you approached?Did you bid?What procurement process?Is 787-8 Dreamliner a TT?"
Hiyo ndio tweet ya Zitto kwenda kwa kampuni ya Boeing.
Binafsi nimevutiwa na hilo swali la mwisho la kuwataka Boeing
wathibitishe kama ndege walioutuuzia ni Terrible Teens kwa kifupi TT?
Pia kupitia mtandao huo wa twitter, Zitto kamtaka waziri Mbarawa atoe
ufafanuzi mbona Line Number ya ndege ya Tanzania inayoonekana katika
mtandao #BoeingAirplane www.abcdlist.nl/787LINE.html ni 19 na sio 719 na
waziri nae naona hajamjibu mpaka sasa.
Zitto anatafuta majibu tusimbeze.
Tags
Zitto Kabwe