
Ukitaka kujua hakuna mzaha ktk serikali hii ni kuwa zoezi la vyeti feki
limemkumba na kumuadhibu shemeji yake kabisa na Rais Magufuli aitwaye
Dorice M Mbizo ambaye yupo kwenye mashirika ya Umma/Taasisi namba 1158.
Huyu shemeji yake muda mrefu amekaa kwa Magufuli pale Kinondoni tangu
Magufuli akiwa Naibu Waziri wa Ujenzi mpaka alipoolewa, kwa kifupi
maisha yake kwa kipindi kirefu yalikuwa kwa Magufuli ambaye ni shemeji
yake, sasa alipopata kazi kumbe alitumia vyeti feki bila kujua kwa kuwa
ni aibu kwake. KAGUZI HIZI ZIMEMUIBUA NA KUMUWEKA HADHARANI.
Hapa kumekucha, fagio halina cha ushemeji wala undugu ni kula kichwa tu!
Tags
RAIS MAGUFULI
