![]() |
| Bi Radhia Luwanga akimlisha Mume wake Riaz Lyimo chakula akiashiria Upendo wakati wa usiku wa Riaz uliofanyika katika ukumbi wa Cavilam mjini Dodoma |
![]() |
| Bi Salma Zuberi ambaye ni mama Mlezi wa Bwana harusi Riaz Lyimo akiingia ukumbini hapo |
![]() |
| Maharusi wakiingia ukumbini kwa madaha huku wakisindikizwa na muziki laini [PICHA NA JOHN BANDA WA BANDA BLOG] |
![]() |
| Maharusi wakilishana Keki |
![]() |
| Mtunza Hazina wa Kamati ya Sherehe hiyo Clara Mcha akisoma stakabadh ya kabati ambalo lilitolewa na kamati kama zawadi ya maharusi ukumbini hapo |
![]() |
| Bwana na Bibi Harusi wakaiwakabidhi Keki kwa ajili ya Chakula cha walikwa waliokuwa wanakati Mama Dagashi na Manlizer |
![]() |
| Wageni waalikwa wakiwa ukumbini hapo |
![]() |
| Mama mlezi akilia kwa Furaha pamoja na Bwana harusi mara baada ya Maharusi hao kumpatia Zawadi |
![]() |
| Chakula |
![]() |
| Waalikwa chakulani |
![]() |
| Tusane wa Muungano akiangalia Kidali cha Kuku kabla ya kukila |
Tags
HARUSI & SHEREHE














