
Ubongo wa mwanamke ni mdogo kwa 8% kuliko wa mwanaume, lakini
unamuungano wa mawasiliano (interconnections) nzuri sana kuliko wa
mwanaume, na ndio mana mwanamke
Itakua umeshaona: kwa wakati huohuo, mwanamke anapika, anaangalia
tamthilia kwenye TV, anasuka nywele n.k. na vyote hufanya kwa ufanisi,
lakini mwanaume amalize kimoja kwanza ndio ahamie kingine.
Ubongo wa mwanamke unauwezo wa kufanya mawasiliano ya haraka sana (fast
data transfer) kuliko wa mwanaume, hivyo mwanamke anao uwezo mkubwa wa
kuwasiliana (communication), kusoma lugha za maumbile (body languages),
kufikiri na kutabiri yajayo (situational thinking) kwa urahisi na haraka
zaidi, yani mara 10 zaidi ya mwanaume. Ndio mana, mwanamke anauwezo wa
kujenga mahusiano ya kijami kirahisi (social thinking and interaction)
zaidi ya mwanaume.
Umeshawahi gundua: upo na mwanamke (dating with a lady) labda mpo beach
au kwenye gari (private driving), alafu ukataka umbusu (kiss) kwa
kumstukiza (obvious no one seeks lady's attention for kissing, it is
done in surprise). Sasa kile kitendo cha wewe kuwaza kumbusu, utakuta
yeye alishagundua dakika chache zilizopita kabla yako, kupitia mihemko
ya mwili wako. Na kama hayupo tayari (ready for kissing), anao uwezo wa
kukwepesha mdomo wake haraka zaidi kabla ya wewe kumfikia, bila kujali
alikua ktk mazingira gani au akifanya nini.