
Nape alikuwa akijibu maswali mbalimbali aliyokuwa akiulizwa na mojawapo
kuhusu bunge amesema bunge mkutano wa wananchi, wabunge wapo pale kwa
niaba ya watanzania majimboni na kazi yao ni kuisimamia na kuishauri
serikali na sio kuipigia makofi na kuipongeza kila kitu na wakifanya
hivyo basi tutapiga hatua
Amesma pia vyombo vya dola visitumie mabavu kwani hii italeta chuki kwa
vyombo hivyo na kwa rais na kusema Tanzania hatujazoea mabavu akatolea
mfano wa tukio la Malima na kusema yeye alikua akiulizia tu ajabu polisi
akamtishia vile
Pia amesema sasa yupo huru zaidi baada ya kuacha uwaziri na anafurahia maisha
Tags
Nape Nnauye