PROF. Ndalichako: Baada ya Vyeti Feki Tunahamia kwa Wenye Elimu Feki..!!!!
byJohn Banda-
0
Waziri wa elimu prof Ndalichako amesema serikali italazimika kupitia
elimu za watumishi wake kwani wengi wao licha ya kua na vyeti vizuri
lakini kilichomo vichwani mwao ni duni sana ukilinganisha na vyeti
source waziri akiwa tbc.