BANDA MEDIA BLOG

Serikali Yasikia Kilio cha Mzee Maskini Aliyechora Nembo ya Taifa



Mzee Francis Maige maarufu Ngosha, aliyechora nembo ya Taifa amehamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH) akitokea Amana alikokuwa amelazwa.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kigwangalla amemtembelea leo asubuhi kumjulia hali.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG