TANZIA: MUASISI WA CHADEMA PHILEMON NDESAMBURO [NDESAPESA] AFARIKI DUNIA
byJohn Banda-
0
MOSHI: Mmoja wa waasisi wa Chadema na Aliyekuwa Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini kupitia chama hicho , Philemon Ndesamburo afariki dunia katika hospitali ya KCM Mkoa Moshi Viongonzi wa CHADEMA kilimanjaro wathibitisha.