
Taarifa kutoka chanzo cha ndani kabisa ndani ya CCM zinasema kwamba kuna
uwezekano mkubwa katika Kikao kijacho cha CCM takribani Wanachama 11
wakafutiwa Uanachama ambapo ndani yao wapo Vigogo Watatu ambao ni Nape
Nauye, Hussein Bashe na Msukuma.
Nape na Bashe wanafukuzwa baada ya kugundulika kuwa wanatumika na Chama
cha Upinzani CHADEMA huku Msukuma anafukuzwa kwa kosa la kuwa mropokaji,
mweneza chuki na mtu asiye mkweli kwa Wanachama wenzie.
Chanz JF
Tags
CCM