Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (wa pili kulia),
akifafanua jambo kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Dkt. Angelina
Lutambi (kushoto) baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa
Singida kutoka kwa Katibu Tawala huyo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya
Wiki ya Utumishi wa Umma 2017.
Baadhi ya Watumishi wa Mkoa wa
Singida wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya
Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) alipokuwa
akizungumza nao wakati wa kikao kazi na watumishi hao ikiwa ni sehemu ya
Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akiongea na
watumishi wa Mkoa wa Singida wakati wa kikao kazi na watumishi hao ikiwa
ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017. Kulia kwake
ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Dkt. Angelina Lutambi
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akipokea maoni na
malalamiko yaliyokuwa yakitolewa na baadhi ya watumishi wa Mkoa wa
Singida wakati wa kikao kazi na watumishi hao mkoani Singida ikiwa ni
sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017. Kulia kwake ni
Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Dkt. Angelina Lutambi.
Mmoja wa watumishi kutoka Ofisi ya
Katibu Tawala Mkoa wa Singida akitoa maoni wakati wa kikao kazi na
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt.
Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki
ya Utumishi wa Umma 2017.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akifafanua jambo
kwa mmoja wa watumishi kutoka Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa wa Singida
alipokuwa akisikiliza malalamiko ya mtumishi huyo ikiwa ni sehemu ya
Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017.
Afisa TEHAMA Mwandamizi kutoka
Ofisi ya Rais – Menejementi ya Utumishi wa Umma, Bi, Jeanfrida
Mushumbusi akihakiki taarifa za mmoja wa watumishi kutoka mkoa wa
Singida ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017
Tags
UTUMISHI WA UMMA