
Wachezaji
wa timu ya Nakuru All Stars ya Kenya wakiwa katika mazoezi ya pamoja
katika Uwanja wa karume jijini Dar es Salaam, jioni ya leo Juni 4, 2017
kujiandaa na michuano ya ‘SportPesa Super Cup’ inayoanza kutimua vumbi
kesho Juni 5 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini, ambapo mechi ya kwanza
itakuwa ni kati ya Singida Utd na AFC Leopards, mechi ya pili itakuwa ni
kati ya wenyeji Yanga na Tusker Fc na Juni 6 mchezo wa kwanza utakuwa
ni kati ya Simba vs Nakuru All Stars na mchezo wa pili utakuwa ni kati
ya Gor Mahia Vs Jang’ombe Boys Fc.



Wachezaji wa nakuru All Stars wakishuka katika gari lao walipowasili uwanja wa Karume kuanza mazoezi, leo jioni.


Mazoezi yakiendelea. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Daktari wa timu akimchua mchezaji misuri kabla ya kuanza mazoezi…
Dua na maelekezo kabla ya kuanza mazoezi…

Mazoezi ya viungo


Wachezaji wakiapasha misuri moto


Makipa wa timu hiyo wakipasha misuri moto.



Tags
sport pesa

