
Yanga itaivaa Tusker FC ya Kenya katika mechi ya pili baada ya Singida
United kuwa imeanza mechi ya kwanza dhidi ya AFC Leopards.
Ngassa amefanya mazoezi na Yanga jana na leo asubuhi tayari kwa mechi hiyo ya SportsPesa Super Cup.
Taarifa zimeeleza kwa kuwa michuano hiyo wachezaji huru wanaweza
kushiriki, Yanga imeamua kumtumia Ngassa baada ya yeye kuomba kwa kuwa
ni mchezaji huru.
Tags
Mrisho Ngasa