
Wiki kadhaa nyuma mjumbe wa kamati ya juu wa chama cha ACT na wakili
aliyebobea alikutwa na kashfa baada ya video yake na msanii Gigi kuvuja
jambo lililopelekea jamii ku-react na kuanza kumshambulia Msando sababu
kaidhalilisha familia yake.Bila ya hiari Albert Msando alichukua hatua
ya kuandika barua na kujiuzulu wadhifa wake kama uwajibikaji.
Leo kuna jumbe ya sauti ya mwenyekiti wa enzi wa chadema Mh.Freeman
Aikael Mbowe ikionekana ikichepuka na kada mpya Wema Sepetu.Hii scandal
haina tofauti na ya Albert Msando.Kama Albert Msando tulimshambulia kwa
kutoka na Gigi na tuliongea mengi kama vile kaidhalilisha ndoa yake na
hakumfanyia fair mke wake na pia taswira yake kwenye jamii ameiharibu
basi hivyo hivyo kwa mwenyekiti wa chadema.
Kwako Mbowe jambo ulilolifanya halikubaliki "sex scandal" viongozi wengi
USA na Eu waliwajibika sababu ya sex scandal na hapa nyumbani wakili
msomi Msando aliwajibika baada ya video yake kuvuja.Tunakutaka uwajibike
chukua mfano kutoka kwa Msando jiuzulu uwenyekiti wa chadema na uongozi
wa kambi rasmi ya upinzani ili ulinde reputation yako.
Chanzo JF
Tags
Freeman Mbowe