Mpambano huo unatajwa kuwa wa gharama zaidi kuwahi kutokea, watu mpaka sasa wamesha nunua tiketi ni wengi sana na watu wanamiminika kununua tuketi la pambano hilo.
Mpambano huo Unatarajiwa kupigwa Agosti 26 katika uwanja wa T-Mobile mjini Las Vegas utakaoingiza watu elfu 20.Mayweather mwenye miaka 40 awali alistaafu baada ya pambano lake na Man Pacquiao mnamo May 3, 2015 lakini amerejea kupambana na McGregor. mnamo Agosti 26.
Tags
BURUDANI: