Kila mgombea huko Kenya anaposimama na kumwaga Sera zake na jinsi
atakavyo wahudumia wakenya atakapochaguliwa baada ya uchaguzi ni lazima
ajifananishe na Rais wa Tanzania Dr Magufuli Katika suala nzima la
uwajibikaji bila kumuogopa yoyote.
Kila mikutano ya hadhara jina la Dr Magufuli limekuwa likitumika Katika kijinadi kwa wagombea.
Hii inatoa ishara gani kwa nchi za Africa Mashariki?