BANDA MEDIA BLOG

Kafulila Afunguka Baada ya Magufuli Kumsifia Sakata la IPTL, Asema CCM Walimnyang'anya Jimbo


Mbunge huyo amesema ni heshima kubwa kwa sababu jambo hilo liliathiri sana maisha yake, na anashukuru Mungu mpaka leo yupo hai.

Na anatumaini rais kwa dhamira alioinyesha atachukua hatua za kutosha kama kuimarisha ofisi ya TAKUKURU na DPP na wahusika wote wachukuliwe hatua.

Akijibu swali kama sakata la Escrow ndio lilisoababisha yeye kushindwa amejibu vita hiyo imemgharimu mambo mengi na jimbo ni sehemu moja, ameongezea jimbo hilo hakushindwa bali alinyang'anywa baada ya kuibiwa sana ikashindikana akanyang'anywa na rekodi zipo na anaweza kuzionyesha na nguvu zilizotumika kumnyang'anya jimbo hazikua nguvu za kawaida

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG