Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akipenya ili kuvuka katika daraja la mto Songwe kwenye mpaka wa mikoa
ya Mbeya na Songwa baada ya Lori lililokuwa limebeba vinywaji baridi
kupinduka katika daraja hilo na kuziba barabara. Ajali hiyo
ilisababisha msururu mrefu wa magari yaliyokuwa yakitoka Tunduma na
yale yaliyokuwa yakitoka Mbeya Julai 24, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Msururu wa magari uliosababishwa
na ajali ya lori lililopinduka kwenye daraja la mto Songwe katika
barabara Mbeya- Tunduma Julai 24, 2017. Lori hilo lilikuwa limebeba
vinywaji baridi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Msururu wa magari uliosababishwa
na ajali ya lori lililopinduka kwenye daraja la mto Songwe katika
barabara Mbeya- Tunduma Julai 24, 2017. Lori hilo lilikuwa limebeba
vinywaji baridi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Tags
Ajali