Rais wa Jamhuri Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Kulia kwa Mh Rais
ni Balozi wa India Nchini Mhe Sandeep Arya,Kulia kwa Mh Rais ni Waziri
Maji Mhandisi Gerson Lwenge,akifuatiwa na Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli na Viongozi wengine wa Mkoa wa Tabora wakikata utepe
kuashiria Ufunguzi rasmi wa mradi wa Maji toka Ziwa Victoria Kwenda
Kwenye Mji wa Tabora,Igunga na Nzega Julai 23,2917.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Balozi wa India Nchini Mhe
Sandeep Arya,Wakiteta jambo mara baada ya Mh Rais Kuweka Jiwe la Msingi
na Ufunguzi rasmi wa mradi wa Maji toka Ziwa Victoria Kwenda Kwenye Miji
wa Tabora,Igunga na Nzega Julai 24,2017.
Rais wa Jamhuri Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipeana Mkono na
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa Mara
Baada ya Ufunguzi wa Ukarabati,Ujenzi na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege
Tabora
Rais wa Jamhuri Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli,akipata maelezo ya
Mradi Ukarabati,Ujenzi na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege Tabora toka kwa
Mhandisi wa Ujenzi wa Uwanja huo Mhandisi Neema Joseph kushoto kwa Mh
Rais ni Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa Julai
24,2017
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe
kwenye Ufunguzi wa Barabara ya Tabora -Puge -Ngeza yenye Urefu wa
Kilometa 114.9 akiwa na Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano Prof Makame
Mbarawa na Viongozi Wengine Wa Mkoa wa Tabora Julai 24,2017
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimia wananchi
waliojitokeza kwenye Ufunguzi wa Barabara ya Tabora -Puge -Ngeza
yenye Urefu wa Kilometa 114.9 Mkoani Tabora Julai 24,2017
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli,akihutubia mamia ya
wananchi wa Mkoa wa Tabora Kwenye Uwanja wa Mpira wa Alli Hassani Mwinyi
Julai 23,2917.
Tags
RAIS MAGUFULI