…………………………..
NteghenjwaHosseah, Kibakwe
ImekuanihulkainayoendeleakukuakatikaHalmashaurinyinginchinikuanzishaMiradimipyailihalimiradiviporoikiendeleakuzorotakwamiakakadhawakadhabilakukamilikahukuikiharibikanakusababishaupotevuwaFedhazilizowekwahapoawali.
Hali
hiiimebainikakatikaHalmashauriyaWilayayaMpwapwawakatiwaziarayakikaziyaMhe.
WaziriwaNchiofisiyaRaisiMhe. George Simbachawenealipotembeleakijiji cha
Chinyika Kata yaMlunduzi, Tarafaya Rudi iliyopoKatikaJimbo la
KibakwenakukutabaadhiyamiradikutokamilikakutokananakutotengewaFedhakatikaBajetiyamwakawaFedhauliofuata.
AkizungumzanawananchiwaKijiji
cha ChinikaMhe.
WaziriSimbachawenealisemanivyemamiradiinayofadhiliwanawadaunaileyaHalmashaurikuwanaumiliki
(ownership)nakuthamininguvunafedhazilizotumikailihataikiishiakatikatiHalmashaurihusikaamawananchiwaeneohilokuwanamoyowakuendeleakutengafedha
au kuchangiakutokamifukonimwenunakukamilishamradihusika.
UnakutaHalmashauriinatengaFedhakidogokwaajiliyamradi
Fulani naunaishiakatikati kasha
mwakaunaofuatawaFedhawatengeamiradimipyabadalayakuhakikishawanakamilishaulewaawalihiiinasababishamradiulekuharibikakwakukaamudamrefuhivyofedhazaSerikalikupoteabilamanufaayenyetijakwawananchialisemaMhe.
Simbachawene.
Mara
kadhawakadhaunakutaMdauanatoaFedhakutokakwenyemapatoyakenakuamuakutatuachangamotolakinakiishiakatikatibasiwananchinaHalmashaurihakunaanayejishughulishailikupatafedhazakukamilishamradikilamtuanaonakamahahusikinaukamilishajiwamradihuohiisitabianzurinanaikemeanakuzitakaHalmashaurizotekuiachamaramojaaliongezaSimbachawene.
Alisisitizakuwawakati Fulani
HalmahsuriilitoaTsh Mil 26 kwaajiliyanyumbayamwalimu (Two in One)
nafedhahazikutosha:
NilitegemeaHalmashauriwataingizakwenyempangowabajetimwakaunaofuatalakinihamnakitunampakaleo
jingo hilohalijakamilika.
“NatoaAgizokwaHalmashaurizote
Tanzania kuhakikishamiradiyoteiliyoanzishwanawadau, nguvuzawananchi au
Serikalikuhakikishainakamilikakablayakuanzishamiradimipyakupitianjiahiithamaniyafedhaitaonekana,
tofautiyahapofedhazilizotumikazitapoteabilakusaidiajamii”
AlisemaSimbachawene.
AwalikatikaziarahiyoMkuuwaWilayayaMpwapwaMhe.
Jabir ShekimwerialiwasilishachangamotozawananchiwaKijiji cha
ChinyikakuwanisintifahamuyamapatoyaMnarawaHalotelulisimikwakatikakijijilakinkijijihakinufaikinapatololote,
BaadhiyawananchikushirikikwenyeKilimo cha
BanginaWakaziwachachekuharibuchanzo cha
majihivyokusababishaukosefuwaMajikwawananchiwotewakijiji cha Chinyika.
Mhe.Simbachaweneameahidikuongezanguvukatikaoperesheniyakuwakamata
wale wotewanaolimaBangikatikaJimbo la
KibakwenakuwapelekaMahakamniyeyoteatakayekamatwakuharibuchanzo cha Maji.
Mhe. SimbachaweneanaendeleanaziarayakekatikaJimbokaKibakwenakatikasikuyapiliametembeleavijijivyaChinyika, ChaludewapamojanaFufu.
Tags
CHAWENE