Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla (Mb)
akisalimiana na Katibu wa Baraza la wazee wa Mkoa wa Shinyanga Mzee
Faustin Sengerema wakati alipokuwa katika ziara ya Kutembelea Makazi ya
Kulea Wazee wasiojiweza ya Kolandoto yaliyopo Shinyanga.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb)
akisalimiana na naibu Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Joyce Machiya
wakati alipokuwa katika ziara ya Kutembelea Makazi ya Kulea wazee
wasiojiweza ya Kolandoto mkoani Shinyanga.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb)
akisalimiana na Kaimu Kamishina wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi
wakati alipokuwa katika ziara ya Kutembelea Makazi ya Kulea Wazee
wasiojiweza ya Kolandoto yaliyopo Shinyanga.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb)
akiangalia moja ya chumba wanapoishi wazee katika Makazi ya Kulea wazee
ya Kolandoto Shinyanga wa pili kushoto ni Afisa Mfawidhi wa Makazi
hayo.
Kaimu Mkuu wa wilaya ya Shinyanga
Mhe. Nyabanganga Taraba akizungumza na wazee pamoja na wananchi
waliofika kushuhudia uzinduzi wa uwekwaji wa jiwe la msingi katika bweni
la wazee, uzinduzi wa mradi wa majiko ya nishati ya gesi na ugawaji wa
bajaji kwa makazi ya wazee nchini; hafla iliyofanyika katika kambi la
Kolandoto, shinyanga.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi Sihaba Nkinga(kulia)
akiteta jambo na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee
na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb)(kushoto) wakati wa hafla ya
uzinduzi wa uwekwaji wa jiwe la msingi katika bweni la wazee, sanjari na
uzinduzi wa mradi wa majiko ya gesi na ugawaji wa bajaji kwa makazi ya
wazee nchini. Tukio la uzinduzi lilifanyika kambi ya Kolandoto,
Shinyanga.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi Sihaba Nkinga
akizungumza na wazee pamoja na wananchi waliofika kushuhudia uzinduzi wa
uwekwaji wa jiwe la msingi katika bweni la wazee uzinduzi wa mradi wa
majiko ya nishati ya gesi na ugawaji wa bajaji kwa makazi ya wazee
nchini.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb)
akizungumza na wazee pamoja na wananchi waliofika kushuhudia uzinduzi wa
uwekwaji wa jiwe la msingi katika bweni la wazee uzinduzi wa mradi wa
majiko ya gesi na ugawaji wa bajaji kwa makazi ya wazee.
Mwenyekiti wa Wazee waishio
katika makazi ya kulea wazee wasiojiweza ya Kolandoto Mzee Samwel
Maganga akitoa shukrani zake kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb) kwa
kitihada za Serikali za kuwajengea bweni jipya, kuwakabidhi majiko ya
gesi na bajaji kwa ajili ya huduma ya usafiri kwa wazee.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb)
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Ujenzi wa Bweni la wazee
waishio katika makazi ya wazee wasiojiweza ya Kolandoto Mhandisi Harold
Jackson Mtyana wakati Naibu Waziri huyo alipofanya ziara ya kukagua
ujenzi huo na kuweka jiwe la msingi.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb)
akilsililiza Katibu wa Baraza la wazee wa Mkoa wa Shinyanga Mzee
Faustine Sengerema mara baada ya kuweka jiwe la Msingi katika jengo la
bweni la wazee katika makazi ya wazee waisiojiweza ya Kolandoto mkoani
Shinyanga.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb)
akisililiza matumizi ya nishati ya jiko la gesi kutoka kwa Afisa Mfawdhi
ya Makao ya wazee Kolandoto katika Manispaa ya Shinyanga, muda mfupi
kabla ya uzinduzi wa matumizi ya majiko hayo katika vituo vya makao ya
wazee na watoto hapa nchini.
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya
Jamii Jinsia wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb) akikata
utepe katika moja ya bajaji kuashiria ugawaji na matumizi rasimi ya
bajaji hizo katika makazi ya kulea wazee wasiojiweza ya Kolandoto
Shinyanga kwa niaba ya Makazi mengine nchini.
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya
Jamii Jinsia wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb) akimkabidhi
funguo ya bajaji Afisa Mfawidhi wa Makazi ya Kulea wazee wasiojiweza ya
Kolandoto Bi Sophia Kang’ombe kwa niaba ya maafisa Wafawidhi katika
makazi mengine nchini.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb)
akimkabidhi Sanduku la Huduma ya kwanza Afisa Mfawidhi wa Makazi ya
Kulea Wazee wasiojiwezaya Kolandoto Bi Sophia Kang’ombe kwa niaba ya
maafisa Wafawidhi katika makazi mengine nchini.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb)
akicheza Mziki na baadhi ya wazee waishio katika Makazi ya kulea wazee
wasiojiweza ya Kolandoto Shinyanga katika hafla ya uwekwaji wa jiwe la
msingi katika bweni la wazee, uzinduzi wa mradi wa majiko ya gesi na
ugawaji wa bajaji kwa makazi ya wazee nchini.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla(Mb) (wa
tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Mkoa na Wilaya ya
shinyanga , Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii na baadhi ya wazee
waishio katika Makazi ya Kulea wazee wasiojiweza nchini.
Picha na Erasto Ching’oro WAMJW
Tags
WAZEE