Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipata maelezo ya ujenzi wa
mradi mkubwa wa maji toka Ziwa Tanganyika toka kwa mhandisi mshauri wa
mradi huo ndugu Michael Mwamkinga

Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Waziri Maji Mhandisi
Gerson Lwenge, Mbunge wa Kigoma mjini Mhe. Zitto Kabwe pamoja na
viongozi wengine akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa
mradi wa maji toka Ziwa Tanganyika
Maelfu ya waanchi wakimsikiliza
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
wakati akiwahutubia a katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Maelfu ya waanchi wakimsikiliza
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
wakati akiwahutubia a katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia Mamia ya Wananchi wa
Mkoa wa Kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli,akiwa katika picha ya pamoja na
vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa Bulombora Kikosi cha 821KJ.
Tags
maji