| Nadia Raymond Mara Baada ya Kupambwa Salon |
| Shamsa Mohamed Sulu katika Pozi la Picha kabla ya kwenda Ukumbini |
| Nadia na Shamsa Baada ya Kupambwa |
| Kassim na Heri Nchasi Kabla ya Ukumbini [PICHA ZOTE NA JOHN BANDA MMILIKI WA BLOG HII] |
| Shamsa na Nadia Kabla ya Ukumbini |
| Kassim Nchasi Na Mkewe Shamsa Mohamed Sulu Kwenye Pozi la Picha |
| Kassim Nchasi Na Mkewe Shamsa Mohamed Sulu Kwenye Pozi la Picha |
| Heri Nchasi Akimlisha Chakula Mke wake Nadia Raymond wakati wa Tafrija ya kuwapongeza iliyofanyika katika Ukumbi wa L.A.P.F Dodoma |
| Kassim Nchasi Akimlisha Mke wake Chakula kwenye Tafrija ya kuwapongeza iliyofanyika July 21,2017 katika Ukumbi wa L.A.P.F Dodoma |
| Maharusi Wakikata Kike Kwenye Tafrija hiyo |
| Wazazi wakicheza Ngoma ya Kabala la Kilangi |
| Maharusi wakijiandaa kufungua mziki |
| Maharusi pamoja na wageni waalikwa wakicheza mziki Laini ukumbini hapo |
| Baadae Shampen Ikafunguliwa na Maharusi Kutosi na Mc Mwangata aliyeiongoza Tafrija hiyo |
Tags
HARUSI & SHEREHE