BANDA MEDIA BLOG

SIMBACHAWENE AVUNJA BODI YA SOKO LA KARIA KOO


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Simbachawene amevunja bodi ya soko la Kariakoo kwa sababu ya bodi hiyo kushindwa majukumu yake ya kumshauri Waziri wa TAMISEMI juu ya Uwendeshaji wa soko hilo kubwa Tanzania. Waziri amesema kuwa utaratibu wa kuundwa wa bodi mpya utafanywa hivi karibuni.



Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG