BANDA MEDIA BLOG

SHAKA AMALIZA ZIARA YA KIKAZI WILAYA YA MAGU, ATUA WILANI UKEREWE


 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka, akishiriki Kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya CCM Kata ya Mwamanga wilayani Magu
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka, akizindua shina la vijana wakereketwa wa CCM wilayani Magu
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka,(kulia) akishiriki ujenzi wa ofisi ya CCM Kata ya Mwamanga wilayani Magu

 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka, akizindua shina la vijana wakereketwa wa CCM wilayani Magu
 Mwenyekiti wa UVCCM mkoani Mwanza Ruben Sixtus, akitoa salamu zake
kwenye ziara ya Katibu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka mkoani Mwanza

 Viongozi mbalimbali wa CCM wilayani Magu wakiwemo mabalozi, wanachama
pamoja na viongozi wa jumuiya za CCM wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu
UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka, alipokuwa akizungumza nao kwenye ofisi
za CCM wilayani humo

 Kaimu Katibu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akizungumza wilayani Magu
Kaimu Katibu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akipokelewa  wilayani Magu majira ya Usiku 
picha zote na Fahadi siraji

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG