BANDA MEDIA BLOG

Breaking News: Majambazi 13 Wauawa Kibiti, Wakutwa na Bunduki 8 Pamoja na Pikipiki Mbili...



Watu 13 wanaodaiwa kuwa ahalifu wameuawa na Askari wa Jeshi la Polisi. Watu hao wamekutwa na Bunduki nane, Pikipiki mbili pamoja na Begi moja la nguo.

Tukio hilo limetokea katika maeneo ya Tangibovu Kijiji cha Milaweni, huko Kibiti Mkoani Pwani.

Chanzo: Jeshi la Polisi Tanzania(Ukurasa wa Twitter)

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG