BW. BERNARD KONGA ATEULIWA MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)
byJohn Banda-
0
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya NHIF Spika Mstaafu Mama Enne Makunda kushoto na
Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Mfuko huo Bw. Bernard Konga ambaye hapo
wali alikuwa akikaimu nafasi hiyo.