My take:Kwa navyoona huu mchezo wa riadhaa ndio mchezo pekee ambao kama kweli watanzania tukiamua kuwekeza utatutoa sana kama wenzetu Wakenya....Kama mnakumbuka huyu Simbu DSTV walijitokeza na kumdhamini kila anachofanya kuanzia mazoezi na mambo mengine na matunda ndio haya tunayaona.......
Tags
MICHEZO