![]() |
Maharusi Ally Bakari Kiboko na Mkewe Hafsa Ally Mohamed wakiingia katika ukumbi wa Kilimani kwa ajili ya Tafrija ya Kupongezwa kwa maharusi hao![]() |
![]() |
| Hapa wakifurahia jambo wakati matukio yakiendelea kwenye tafrija hiyo |
![]() |
| Wazazi wa Maharusi wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wao wakati wa tafrija ya kuwapongeza |
![]() |
| Ally Bakari Kiboko Akimlisha Mkewe Hafsa Ally Mohamed Kike kwa staili ya aina yake wakati wa Tafrija ya kupewa pongezi katika ukumbi wa Kilimani Dodoma [PICHA NA JOHN BANDA WA BANDA BLOG] |
![]() |
| Wageni Waalikwa |
Tags
HARUSI & SHEREHE













