BANDA MEDIA BLOG

SIDO DODOMA NA TSFR YA UINGEREZA ZATOA MSAADA WA ZANA ZA UFUNDI KWA WAJASILIAMALI WA WILAYA YA BAHI

Mkuu wa Wilaya ya Bahi Elizabert Kitundu akimkabidhi Cheti  Jafetty Maganigani baada ya kushiriki mafunzo mbalimbalimbali yakiwemo ya ujasiliamali na kutumia Zana za  ufundi zilizotolewa msaada na Shirika la kusaidia viwanda vidovidogo SIDO Mkoa wa Dodoma na TSFR ya Uingereza
Mkuu wa Wilaya ya Bahi Akikabidhi msaada wa Cherehani ya Kudalizia kwa wajasiliamali wa moja ya vikundi Vilivyoshiriki Mafunzo yaliyotolewa na SIDO Mkoa wa Dodoma ambapo Zana hizo za ufundi zimefadhiliwa na TSFR ya Uingereza

Afsa Ufundi wa Shirika la kusaidia Viwanda Vidogo Vidogo [SIDO] Mkoa wa Dodoma Nyangusi Meitalami akiwaonyesha Baadhi ya Viongozi wa Wilaya ya Bahi na Wajasiliamali Zana ya kitobolea matundu kwenye uchongaji, Zana Hizo zenye Thamani ya Milion 20 zimetolewa na TSFR ya Uingereza kwa Vikundi 20 vya wajasiliamali wa Wilaya ya Bahi [PICHA NA JOHN BANDA WA BANDA BLOG]

Winfrida Clemens Akipokea Cheti Chake toka kwa mkuu wa Wilaya hiyo





Mafundi wakionyesha baadhi ya kazi zao




Kaimu Mkurugenzi wa Halmashari ya Wilaya ya Bahi Davis Komba akifafanua Jambo wakati alipokuwa akizungumza  na vikundi vya Wajasliamali kabla ya SIDO kuwapa misaada ya nyezo za ufundi, wengine ni Mkuu wa Wilaya hiyo Elizabart Kitundu, Kaimu Meneja SIDO Mkoa wa Dodoma na Afsa Ufundi wa Shirika hilo Nyangusi Meitalami

DC Elizabrt Kitundu akizungumza jambo kwenye hafla hiyo

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG