BANDA MEDIA BLOG

Rais Magufuli ataka VAT iondolewe Kwenye Miradi ya Ufadhili


Rais Magufuli ataka VAT iondolewe Kwenye Miradi ya Ufadhili
RAIS John Magufuli ameziagiza wizara za Fedha na Mipango na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tamisemi kuandaa mapendekezo na kupeleka bungeni mwaka huu marekebisho ya sheria yanayotaka kulipwa kwa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwa miradi inayopata ufadhili kutoka kwa wadau wa maendeleo ikiwemo Benki ya Dunia. Ametoa agizo hilo wakati akihutubia wananchi wa Korogwe waliohudhuria ufunguzi wa stendi mpya ya kisasa ya mabasi iliyogharibu Sh bilioni...

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG