| Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi
la Canada Mhe. Yasmin Ratansi (wa kwanza
kulia) akizungumza wakati Wajumbe wa
Chama hicho kutoka Canada walipokutana na Wajumbe Chama cha Wabunge Wanawake katika
Bunge la Tanzania katika Ofisi Ndogo za
Bunge Jijini Dar es Salaam mapema leo. |