Malalamiko hayo yametolewa jana Mjini hapa kwa yakati tofauti wakati walipokuwa wakizungumza na MUAKILISHI.
Wamedai kuwa kutokana na kupanda kwa gharama za maisha hawana uwezo wa kumudu gharama za kulipia kiasi cha shilingi 1000 kwa kila wiki kwaajili ya taka ambazo hutozwa na vikundi vinavyosaidia manispaa hukusanya taka hizo.
MUAKILISHI ilimtafuta Mkurugenzi wa Maniapaa ya Dodoma ili kuzungumzia suala hilo,Alisema hawezi kuruhusu kuchimba mashimo kwanza ni uharibifu wa mazingira na kuongeza kuwa mtanzania kama anauwezo wa kupangisha nyumba na kumiliki nyumba kwa mwezi akapata laki tatu haiwezekani akashindwa kulipia tsh 1000 ya taka.
Tags
USAFI WA MAZINGIRA