Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akifungua pazia kuweka
jiwe la msingi Tawi la CCM Kijiji cha Njuguni Wilaya ya Micheweni Mkoa
wa Kaskazini Pemba jana akiwa katika ziara zake Mkoa wa Kaskazini
Pemba,kutembela Miradi mbali mbali ya Maendeleo
Baadhi
ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Kijiji cha Njuguni walipokuwa
wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein mara
alipowasili katika Kijiji hicho kuweka jiwe la msingi Tawi la CCM
Njuguni Wilaya ya Micheweni jana akiwa katika ziara zake Mkoa wa
Kaskazini Pemba,kutembela Miradi mbali mbali ya Maendeleo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitia saini kitabu cha
wageni mara baada ya kuweka jiwe la msingi Tawi la CCM Njuguni Wilaya
ya Micheweni jana akiwa katika ziara zake Mkoa wa Kaskazini
Pemba,kutembela Miradi mbali mbali ya Maendeleo
Risala
ya Chama cha Mapinduzi Tawi la CCM Njuguni ikisomwa na Bi.Mkitu Hassan
Mwalimu wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani) alipofika kuweka jiwe la msingi Tawi la CCM Kijijini hapo jana
akiwa katika ziara zake Mkoa wa Kaskazini Pembe kutembelea Miradi mbali
mbali ya Maendeleo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto pichani) alipokuwa
akizungumza na WanaCCM Tawi la CCM Njuguni mara baada ya kuliweka jiwe
la msingi Tawi hilo jana akiwa katika ziara zake Mkoa wa Kaskazini
Pembe kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo,pia alifanyisha
Harambee ya kukamilisha Ujenzi wa Tawi hilo,[Picha na Ikulu.]22/08/2017.
Tags
Dk Shein