
Mwenyekiti wa mtaa huo, uliopo Kata ya Olasiti, Daudi Safari amethibitisha tukio hilo lililovuta wananchi wengi waliojitokeza kushuhudia kuopolewa kwa miili hiyo.
Kazi ya uopoaji ikitekelezwa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jeshi la Polisi na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Shimo hilo lipo kwenye nyumba ambayo ujenzi wake haujakamilika.
Tags
Mauaji