BANDA MEDIA BLOG

WAKULIMA ZAIDI YA 400 WA KATA YA MANCHALI WILAYANI CHAMWINO WAWATAKA VIONGOZI WA KIJIJI KUWAACHIA ENEO HILO WALIM KILIMO CHA KUMWAGILIA

Baadhi ya wakulima hao wakiwa pembezoni mwa kisima kilihochimbwa katika eneo hilo

Wakulima hao wakiwa katika vikundi wakijadiliana jambo kwenye eneo hilo la mbuga ambalo kwa sasa limezuiliwa kwa kilimo na viongoziu wa kijiji bila taarifa ya vikao [PICHA NA JOHN BANDA WA BANDA BLOG]


Moja ya visima vilivyochimbwa katika mbuga hiyo yenye maji mengi yanayopatikana kwa kuchimba urefu  fiti 2




Wakullima hao wakionyesha Micha ya Minyanya iliyooteshwa katika eneo hilo zikiwa zimestawi

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG