Waziri Mkuu Mstaafu, John
Malecela akizungumza na Kaimu Katibu wa umoja wa Vijana wa Chama Cha
Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka (kushoto) wakati alipomtembelea,
nyumbani kwake mjini Dodoma
Waziri Mkuu Mstaafu, John
Malecela akimwonyesha kaimu katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha
Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka kinyango chenye uzito wa tani 1
wakati alipomtembelea, nyumbani kwake mjini Dodoma
Waziri Mkuu Mstaafu, John
Malecela akimwelezea kaimu katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha
Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka picha iliochorwa na Mwanafinzi wa
darasa la saba Mwaka 1982 wakati wa hali ngumu ya uchumi nchini.
Waziri Mkuu Mstaafu, John
Malecela akimwelezea kaimu katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha
Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka picha iliyochorwa na mjuu wake
ikimuonesha yeye na Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage
Nyerere.
Picha ya pamoja Waziri Mkuu
Mstaafu, John Malecela na Kaimu katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama
Cha Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka picha
kaimu katibu Mkuu wa Umoja wa
Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka akimuaga
Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela alipomtembelea nyumbani kwake Mtaa wa
Kilimani Mjini Dodoma(PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI)
Tags
MALECELA