BANDA MEDIA BLOG

TIMU YA WAANDISHI WA HABARI WA MKOANI IRINGA (IMFC) YAINGIA KAMBINI




 

TIMU ya waandishi wa habari wa
mkoani Iringa  imeingia kambini kujiwinda
na mchezo wa fainal kati ya bingwa wa mashindano ya Spanest cup,mchezo huo
utacheza katika uwanja wa Hifadhi ya Ruaha.
 
Wakizungumza na blog hii
viongozi wa timu hiyo  walisema wapo
tayari kukabiliana na timu ya Itunundu maarufu kama sukari ya warembo.
Timu hii ya waandishi haijawahi
kufungwa katika fainali yoyote ile hivyo Itunundu wajipange

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG