BANDA MEDIA BLOG

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU KUFANYIKA JUMAPILI DESEMBA 10 MWAKA HUU KATIKA VIWANJA VYA NYERERE MJINI DODOMA HUKU MGENI RASMI AKITARAJIWA KUWA MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika akifafanua jambo wakati alipokuwa akiongea na Wandishi wa Habari kuhusu Maadhimisho ya siku ya maadili na haki za Binadamu yanayotarajiwa kufanyika Desemba 10, mwaka huu katika viwanja vya Nyerere mjini Dodoma, mwingine ni Kamishna wa Maadili Nchini Jaji Mstaafu Harold Nsekela
Wandishi wa Habari wakiwajibika wakati waziri huyo akizungumza nao

Kamishna wa Maadili Nchini Jaji Mstaafu Harold Nsekela akizungumza Jambo na Wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika mara baada ya kuongea na vyomba vya habari kuhusu maadhimisho hayo kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru Valentino Mlowola [PICHA NA JOHN BANDA WA BANDA BLOG]

Waandishi wa habari wakimfuatilia Waziri huyo hayupo pichani

Baada ya kuongea na vyombo vya habari Mkuchika akatembelea mabanda yaliyopo katika viwanja hivyo vya nyerere mjini Dodoma na kuongea na maafsa mbalimbali akianza na Banda la Ofisi yake alipowakuta Janeth Mishanga, Leila Mavica, Zephania Mhanya na Rehema Msemo

Banda la Mwanasheria Mkuu wa Serikali waliotoa maelezo ni Wakili wa Serekali Tumaini Kweka na Harry Mbohoro

Banda la Tume ya Haki za Binadamu




Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG