
“Ana udogo gani? Hana udogo yule, angekuwa mdogo asingeoa, mkubwa,” alisema. Alipoulizwa kama ana mpango wa kupata mtoto mwingine, mama huyo alisema, “Naseeb atapata mdogo wake siku yoyote, nyie hamtaki mdogo? Basi subirieni mdogo wenu wa mwisho.”
Tags
Diamond Platnumz