Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wajumbe wa mkutano
Mkuu wa Tisa wa UVCCM baada ya kuufungua katika Ukumbi wa Julius Nyerere
mjini Dodoma leo Novemba 10, 2017

(CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wageni kutoka vyama
rafiki toka nchi mbalimbali baada ya kufungua mkutano Mkuu wa Tisa wa
UVCCM katika Ukumbi wa Julius Nyerere mjini Dodoma leo Novemba 10, 2017
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifungua rasmi mkutano Mkuu wa
Tisa wa UVCCM katika Ukumbi wa Julius Nyerere mjini Dodoma leo Novemba
10, 2017
Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wa meza kuu
wakimsikiliza mwanachama mpya Ndg. Alfred Msando akisalimia wajumbe wa
mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM baada ya kuufungua katika Ukumbi wa Julius
Nyerere mjini Dodoma leo Novemba 10, 2017
:Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na aliyekuwa
mbunge wa Kinondoni na mwanachama mpya Ndg. Maulidi Mtulia baada ya
kusalimia wajumbe wa mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM katika Ukumbi wa
Julius Nyerere mjini Dodoma leo Novemba 10, 2017
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
jambo mbele ya wajumbe wa mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM katika Ukumbi
wa Julius Nyerere mjini Dodoma leo Novemba 10, 2017
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi
meza kuu wakiimba na kucheza nyimbo za hamasa pamoja na wajumbe wa
mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM baada ya kuufungua katika Ukumbi wa Julius
Nyerere mjini Dodoma leo Novemba 10, 2017.

PICHA NA IKULU
Tags
UVCCM