BANDA MEDIA BLOG

GIROUD AINUSURU ARSENAL DHIDI YA SOUTHAMPTON ‘ACHOMOA DAKIKA ZA MAJERUHI’


Akitokea benchi kuchukua nafasi ya Mfaransa mwenzake Mshambuliaji hatari  Olivier Giroud ameinusuru Arsenal kulala mbele ya wenyeji Southamton baada ya kufunga bao dakika ya 88 akimalizia kazi nzuri ya Alexis Sanchez Mchezo uliopigwa katika dimba Takatifu la St.Marry timu hizo zimefungana 1-1.
Timu ya Southampton ilikuwa ya kwanza kupata bao la mapema dakika ya tatu ya Mchezo likifungwa na Charlie Austin’s na Mpaka Arsenal wakabahatika kupata bao hilo dakika za lala salama.
SOUTHAMPTON (3-4-2-1): Forster 6.5; Stephens 7, Yoshida 6.5, Van Dijk 7; Ward-Prowse 6, Romeu 6.5, Hojbjerg 6, Bertrand 7; Tadic 6 (Davis 89), Redmond 6 (Boufal 74); Austin 7 (Gabbiadini 86)
GOAL: Austin 3
BOOKINGS: Stephens, Romeu
SUBS: McCarthy, Pied, Hoedt, Lemina
MANAGER: Mauricio Pellegrino 6.5
ARSENAL (3-4-2-1): Cech 6; Koscielny 6.5, Mertesacker 5 (Welbeck 64, 6), Monreal 6; Bellerin 6, Ramsey 6.5, Xhaka 5 (Wilshere 69, 6.5), Kolasinac 6; Ozil 6, Sanchez 7; Lacazette 6 (Giroud 72, 7)
GOAL: Giroud 88
BOOKINGS: Bellerin, Wilshere,
SUBS: Ospina, Coquelin, Maitland-Niles, Iwobi.
MANAGER: Arsene Wenger 5 
 
REF: Bobby Madley

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG