BANDA MEDIA BLOG

Miaka 17 imepita tangu mara ya mwisho Real Madrid kufungwa fainali nje ya Hispania, vipi Jumamosi?



Jumamosi hii kocha wa klabu ya Real Madrid Zinedine Zidane atakuwa na mchezo mwingine wa fainali, safari hii ni fainali ya klabu bingwa dunia ambapo Real Madrid watakuwa uwanjani kukupiga zidi ya Gremio mchezo utakaoonekana moja kwa moja Star Times.
Naomba ujue kwamba michuano hii inaonekana live na pekee nchini Tanzania kupitia king’amuzi cha Startimes pekee kupitia channel ya World Football. Usipitwe na miachuano hii ambapo sasa hivi ving’amuzi vya Startimes vipo kwenye punguzo la bei.

Lakini kama haujaipanga vizuri, Startimes inakupa nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali ikiwemo king’amuzi cha Startimes. Unachotakiwa ni kupiga selfie ukiwa na kofia ya mfalme wa burudani na ku post kwenye social media na #MfalmeWaBurudani ZaFamilia. Kofia hizi zinapatikana kwenye maduka yote ya Startimes.


Turudi kwenye habari ya Real Madrid, Mwaka 2009 mwezi November tarehe 29 Real Madrid walikubali kipigo cha mabao 2 kwa 1 kutoka kwa Boca Juniors ya nchini Brazil lakini hiyo ikawa mara yao ya mwisho kupoteza fainali nje ya Hispania.
Kuanzia hapo Real Madrid wamecheza michezo 11 lakini katika fainali hizo hawakupoteza fainali hata moja jambo ambalo linawapa matumaini Los Blancos wanavyokwenda kukabiliana na Gremio.
Baada ya mwaka huo Madrid walikutana na fainali za Champions League 4 wakicheza vs Bayern Leverkusen(1), Juventus na wakicheza na Atletico Madrid mara mbili wakashinda zote na wakishinda Europe Super Cup walizocheza nje ya Hispania zote kuanzia mwaka huo.
Madrid pia wanakwenda katika fainali hii huku Cristiano Ronaldo akiwa ana rekodi mpya ya ufungaji wa mda wote katika michuano hii ambapo ana mabao 6 hadi sasa, Real Madrid wataendeleza rekodi au Gremio watawasimamisha? Angalia Star Times siku ya Jumamosi.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG