BANDA MEDIA BLOG

Freeman Mbowe Adai Kama Serikali Inaona Upinzani ni Hasara Basi Waufute

 
 

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema kama serikali na CCM wanaamini upinzani ni hasara kwa nchi wana wingi wa kutosha katika bunge, wapitishe sheria wavifute.

Amesema pia viongozi wa dini wana uhuru wa kutoa mawazo yao na wana wajibu wa kusema, wakiona serikali au vyama vya upinzani vinakosea

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG